PERMISSIONS

Shirika la Turkish Airlines laendelea kuonyesha mafanikio makubwa barani Ulaya

1 week ago 11

Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Ulaya

Shirika la ndege la Uturuki Turkish Airlines (THY) limeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Ulaya kwa kufanya safari za ndege 596 kwa siku.

Kulingana na ripoti ya EUROCONTROL Turkish Airlines imefanya safari za ndege 596  kati ya tarehe 15-21 Februari, na kuwa wa kwanza barani Ulaya.

Shirika la ndege la Uturuki, ambalo limekuwa la kwanza kwenye orodha hiyo, limefuatiwa na Air France na ndege 366 kwa siku. Wideroe imeshika nafasi ya tatu na ndege 262, na Pegasus Airlines nafasi ya nne na ndege 24.

Read Entire Article