PERMISSIONS

Maisha katika nyuzi joto 50: Moto wenye sumu unaochochea mabadiliko ya hali ya hewa

1 week ago 26

Joy na familia yake ni miongoni mwa Wanigeria milioni mbili wanaoishi ndani ya kilo mita nne ya moto wa gesi unaowaka katika eneo la kusini lenye utajiri wa mafuta.

Alipokuwa mdogo Joy anakumbuka hali ya hewa nchini mwake haikuwa mbaya. Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa na athari kubwa Nigeria. Ardhi zenye rotuba zinageuka kuwa jangwa , huku mafuriko yakiwa jambo la kawaidi eneo la kusini.

Author: mas

Read Entire Article