PERMISSIONS

Djokovic mfalme wa tennis

1 week ago 7

 Kwa sasa anasema anataka kupumzika tu ili apone jeraha alililopata.

“Nimetoka kufanyiwa uchunguzi mwengine wa MRI hivi asubuhi na kwa kweli nimeumia sana kuliko nilivyochunguzwa mara ya kwanza. Lakini kutokana na alichokisema daktari, sijaumia sana lakini nitachukua mapumziko ili nipone. Msuli umekatika pakubwa,” alisema Djokovic.

Read Entire Article