PERMISSIONS

Cleveland Cavaliers yaishinda Houston Rockets NBA

1 month ago 32

Cedi Osman achangia ushindi wa Cleveland Cavaliers dhidi ya Houston Rockets kwenye NBA

Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani ya NBA iliendelea hapo jana kwa mechi 9 zilizochezwa.

Timu ya Cleveland Cavaliers inayochezewa na Cedi Osman katika ligi kuu ya NBA, ilifanikiwa kuishinda Houston Rockets 112-96 ambapo mchezaji huyo wa kitaifa alichangia pointi 7.

Cedi ambaye alicheza dakika 21 kwenye mechi hiyo, pia alichangia asisti 2 na rebaound 8.

Matokeo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo:

Indiana Pacers-Golden State Warriors: 107-111

Atlanta Hawks-Boston Celtics: 127-112

Cleveland Cavaliers-Houston Rockets: 112-96

Miami Heat-Toronto Raptors: 116-108

Chicago Bulls-Minnesota Timberwolves: 133-126

New Orleans Pelicans-Detroit Pistons: 128-118

Oklahoma City Thunder-San Antonio Spurs: 102-99

Phoenix Suns-Charlotte Hornets: 121-124

Utah Jazz-Los Angeles Lakers: 114-89

Read Entire Article